Download Official Music Audio: Shadrack Robert-Siya Bonga

Kutoka Arusha Tanzania leo tovuti ya JICHOPEMBUZI  imekuletea wimbo mpya unaoitwa Siya Bonga kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Shadrack Robert wimbo huu umetengenezwa na producer Samtimber kutoka studio ya Fnouk.
  JICHOPEMBUZI tunakukaribisha kusikiliza na kupakua kutoka kwa mwimbaji Shadrack Robert kisha mpe sapoti  yako kwa kuwashirikisha wengine zaidi kwa kadri uwezavyo ili injili isambae mahali pote na hakika utabarikiwa sana Karibu!!
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment