DOWNLOAD MUSIC AUDIO: PRISCA SANGA-UWEPONI MWAKO

Shalom! leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka kidamali mkoani Iringa, Tanzania anayefahamika kwa jina laPrisca Sanga na wimbo wake huu mpya unaitwa Uweponi Mwako ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Mefo Records chini ya mikono ya producer KingSon.

gospomedia.com tunakukaribisha uweze kuusikiliza na kuupakua wimbo huu mpya wa Uweponi Mwako kutoka kwa muimbaji Prisca Sanga kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo wimbo huu ikiwa ni sehemu ya kumpa sapoti mwimbaji huyu na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment