Muzamiru ashinda tuzo hii kutoka Simba Sc
Klabu ya soka ya Simba SC inaendelea na utaratibu wake wakutoa tuzo ya kila mwezi kwa wachezaji wake ambao wanafanya vizuri kila mwezi.
Kocha Joseph Omog akimkabidhi kiungo Mzamiru Yassin tuzo ya mchezaji Bora wa Simba mwezi Oktoba pamoja na kitita cha Tsh laki (500,000)
Kiungo Muzamiru Yassin amekuwa mwanasoka bora wa klabu hiyo kwa mwezi Oktoba na amekabidhiwa tuzo yake hiyo na na kocha wake Joseph Omog mbele ya wachezaji wenzake.
Mbali na kumkabidhi tuzo hiyo, mcheazaji huyo alikabidhiwa fedha kiasi cha Shilingi 500,000 ikiwa ni sehemu ya zawadi iliyotolewa na uongozi wa klabu ya Simba kwa kushirikiana na Kampuni ya AMG ambayo hufanya zoezi hilo.
0 maoni:
Post a Comment