Kocha wa klabu ya soka ya Manchester United, Jose Mourinho amefunguka
sababu ya Wayne Rooney kufoka wakati alipokuwa kwenye benchi baada ya
kutolewa uwanjani dakika ya 80 wakati wa mechi yao ya ligi kuu ya
Uingereza Jumatano hii dhidi ya Cristal Palace.
Mourinho amesema mshambuliaji huyo alikuwa akilaamu maamuzi ya refa
Craig Pawson kuwa nyima penalti ya wazi. “He was angry with a possible
penalty,” amesema Mourinho. “He was complaining with the referee, he was
complaining with the fourth official too.”
Kwenye mechi hiyo Man United ilifanikiwa kushinda magoli 2-1, magoli
United yalifungwa na Pogba dakika ya 45 na Ibrahimovic 88 huku goli la
Palace likifungwa na Mc Arthur dakika ya 66.
Home / Uncategories / Mourinho aeleza sababu ya Rooney kugeuka mbogo kwenye benchi dhidi ya Cristal Palace
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment