picha 5:muonekano wa ajari ya lori lillilo lipuka nchini kenya
.
Mashuhuda waliokuwepo kwenye tukio hilo wamesema dereva wa lori alishindwa kumudu gari lake na kugonga gari jingine na kusababisha magari mengi kugongana. Ajali hiyo iliyotokea kwenye barabara iliyo na shughuli nyingi, kilomita 80 kutoka Nairobi, ilisababisha taharuki kubwa.
Miili mingi kwenye ajali hiyo imeungua kiasi cha kushindwa kutambulika.
0 maoni:
Post a Comment