Ben Pol awashangaa walio ‘dislike’ video ya Muziki YouTube


 

Ukiangalia kwenye mtandao wa Youtube wimbo wa Darassa ‘Muziki’ utaona kuna watu 2401 wameonyesha kutoupenda wimbo huo japo mpaka sasa umefanikiwa kutazamwa zaidi ya mara 2.7 milioni. Kitendo hicho kimemshangaza Ben Pol aliyeshirikishwa kwenye wimbo huo.

Mkali huyo wa muziki wa RnB, ameandika ujumbe kupitia mtandao wa Instagram akielezea kuwa binadamu hata ufanye kitu gani kizuri hakiwezi kupendwa na watu wote.
Kupitia mtandao huo, Ben ameandika:
Pamoja na kuvunja rekodi na pia mafanikio ambayo wimbo huu umeleta na unaendelea kuleta, Eti kuna watu Buku mbili Hawakuuelewa 🤔, hapo ndo utaamini kwamba HAIWEZEKANI kuwafurahisha watu wote Duniani, lazima Atatokea/Watatokea watu kadhaa tu ambao hawatakuelewa unachofanya, FOCUS, Stick to your plans, Move forward, Conquer 💪🏽 #HappyNewYear (There’s no way that you can satisfy / make everyone happy, there must be some people who will NOT understand what you’re doing. FOCUS!)
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment