LEO HII MTU WANGU NIMEKUANDALIA TOP 20 KATIKA NYIMBO ZA INJILI AU GOSPLE TUKUTANE 99.3 GMCL FM



 No automatic alt text available.


Week end hii ikiwa ni jumamosi tulivu nimekuwekea top 20 ya gosple kali katika tasinia ya muziki hivyo tukutane pale 99.3 gmcl fm redio yako bora kabisa muda saa sita kamili mchana hadi saa nane kamili mchana mtakuwa nami Anton fuzu ################

TOP 20  
1. ....................
2......................
3.............................
4 IKUPA MWAMBENJA
5. GOODLUCK GOZABERT NDIWE MUNGU
6. PAPI CONGO
7.BUSET WATAULIZANA
8.OMBA USICHOKE
9.CRISTINA SHUSHO MEMA
10.BOMBY JOHNSON NAAMINI
11.EPHY YOUNG USILIPISHE UBAYA
12.KEVO MULA BADO NI WEWE
13. WILL PAUL TIGA WANA
14.STEVEN MULLY NIPOKEE
15.BERTHA KAPUFI NAMWANDAMA BWANA
16. MERCY MASIKA FT ANGEL BENARD
17. MESS CHENGULA FT EMMANUEL MGOGO
18. ELANDRE BONDE
19. MAMA JUSI KWAYA
20.RITHA KOMBA UNIONGOZE.

Tuambie ipi itapanda ipi itashuka na ututabilie mshindi wa kwanza hadi wa tatu lakini bila kusahau ingizo jipya unapendekeza gosple ipi kazi kwa mdau wangu comment zako nitatembea nazo on air au sio 99.3 gmcl fm wakilishaaaaaaaaaa na Anton fuzu @#####################
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment