Vanessa Mdee alitumbuiza kwenye show ya mkesha wa mwaka
mpya nchini Malawi, mwishoni mwa wiki. Lakini hakuishia tu kutumbuiza,
bali alitumia muda huo kurekodi wimbo anaoshirikishwa na rapper wa
nchini humo, Tay Grin.
Vanessa Mdee akiingiza sauti kwenye booth
Kwa muda mrefu Tay alikuwa akidai kuwa anapenda aje arekodi wimbo na
muimbaji huyo wa Cash Madame, na sasa fursa hiyo imepatikana hatimaye.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment