Saidi Fella wa Yamoto Band Tmk kuwekeza kwenye Gospel?


Mmiliki wa kundi la Yamoto Band(Mkubwa na Wanawe)na Diwani wa Kata ya Kilungule wilayani Kigamboni Jijini   Dar Es Salaam Mh.Said Fella ameonekana kuvutiwa na kazi nzuri zinazofanywa na waimbaji wa muziki wa Injili Tanzania.
Said Fella kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost kijipande cha video cha dakika chache cha mwimbaji wa muziki wa Injili Christina Shusho uitwao Akutendee nini na kuandika maneno ambayo yanaleta picha ya kuonyesha pengine Mmiliki wa kundi hilo la Yamoto Band na mmoja wa Mameneja wa Diamond msanii wa Muziki wa Kizazi kipya  Bongo Fleva Tanzania kuonyesha kutaka kuwekeza kwenye muziki wa Gospel.
Maneno ambayo aliyaandika Said Fella na kuonyesha kuashiria kuwa pengine huko siku zijazo akawekeza kwenye Muziki wa Injili  yalikuwa yanasomeka kama hivi”Ngoma kali Akutendee nini bwana aya wadau tujaribu kufikiria”Aliandika hivyo.
Ni muda mchache baada ya kupost kijipande hicho cha video kiliweza kutazamwa na zaidi ya watu 5,944 na badhi ya watu waliokuwa wakitoa maoni yao katika ukurasa wa Said Fella walikuwa wakimshauri awekeze pia kwenye muziki wa Injili  mana kwasasa waimbaji wa Muziki huo wanafanya vyema.
Na wengine walimsifia mwimbaji Christina Shusho kuwa anajua na ana
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment