App Ya Simu Kutumika Kupima Saratani Ya Kizazi Tanzania

Wakati saratani ya shingo ya kizazi inaweza kuzuiwa na hata kutibika ikigundulika mapema na kutibiwa kiusahihi, ukosefu wa uchunguzi umechangia kutokea kwa vifo vingi sana.
Nchini Tanzania peke yake, takribani wanawake 4,000 wanafariki dunia kila mwaka kutokana na saratani hii, kwa mujibu wa shirika la afya duniani.
Katika kukabiliana na vifo hivi, watafiti wa masuala ya afya nchini Tanzania wametengenza programu tumizi- yaani APP inayoweza kusaidia upimaji wa saratani hii.
Wanasayansi Tanzania Wagundua APP Maalum Kwa Ajili ya Upimaji wa Saratani Ya Kizazi

from Blogger http://ift.tt/2kEkyRP
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment