Ishu ya Kujaladia Makalio Yamtoa Povu Aunti Ezekiel

BAADA ya watu kumuandama mitandaoni kuwa anatumia ‘makalio ya dukani’ kuongeza muonekano mzuri wa mwili wake, muigizaji wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel, ameibuka na kusema aachwe kwani kama anatumia ni yeye.
Alisema wanaomkosoa hivyo hawana hoja kwani vitu hivyo vimewekwa kwa ajili yao madukani ndiyo maana vinauzwa hivyo hajali wanaomkosoa.
“Niwe natumia makalio sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel, ya kujaladia, niwe situmii, ni mimi. Waniache, kwani nikitumia kuna tatizo? Kwani madukani yamewekewa kina nani?,” alisema Aunt alipozungumza na mwanahabari wetu kuhusiana na suala hilo
ANGALIA VIDEO CHIDEO

from Blogger http://ift.tt/2lSPqgP
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment