PICHA 3: ZA AJALI HILIYO UA WATU WAWILI HAPO HAPO JIJINI MBEYA.







Ajali hii ya pikipiki yenye No za usajili T 342 CVP  imetokea ilomba hapa jijini mbeya kwa kuua  watu wawili hapo hapo chanzo cha ajali ni mwendo kasi wa biki piki  hiyo iliyotea sai na kulivamia gari 

kiujumla watu hao wameshindwa kutambuliwa kwa wakati huo na hivyo jeshi la polisi la usalama barabara likawa limefika sehemu ya tukio mara moja endelekutufuatilia kukujuza zaidi baada ya polisi kufanya uchunguzi .
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment