Picha: Kilimo cha Bangi Makete Kilivyoteketezwa

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Christopher Olesendeka ateketeza Bangi zaidi ya Hekari 50 iliyokuwa ikilimwa kwa kilimo cha Umwagiliaji katika mapori yaliyopo kijiji cha Ng’onde kata ya Mlondwe Wilayani Makete
Habari/Picha na Redio Kitulo FM
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Olesendeka akichoma moto bangi hiyo

from Blogger http://ift.tt/2lG00au
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment