SAUTI: BIG SEAN AIMBA KUHUSU KUMUUA RAIS WA MAREKANI, DONALD TRUMP!

Rapa wa nchini Marekani, Big Sean si shabiki wa Donald Trump. Inaweza kushangaza kwakuwa Big Sean yupo kwenye lebo ya Kanye West (Good Music), na Kanye west ni miongoni mwa marafiki wa Trump.
Hili limejulikana baada ya mwanamuziki huyo kuimba kuhusu kumuua Rais Trump. Big Sean kwa sasa anaitangaza albamu yake mpya iitwayo ‘I Decided’. Alikwenda kwenye studio za Hot 97 kuizungumzia, na alipopata nafasi ya kuimba akatoa ya moyoni mwake.
Sikia hapa alicho rap Big Sean kuhusu kumuua Donald Trump:

from Blogger http://ift.tt/2laS2Dk
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment