Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Josiah Justice – Ni Wewe Uliyetenda


Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti ya JICHOPEMBUZI tunakuletea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Josiah Justice na wimbo huu unaitwa Ni Wewe Uliyetenda ukiwa ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye album yake mpya inayobeba jina la Hakuna Kama Wewe wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya Eye Pictures Records chini ya mikono ya producer Ngoti anayepatikana jijini Dar es salaam.
gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Ni Wewe Uliyetenda kutoka kwa muimbaji Josiah Justice kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti mwimbaji huyu ambapo pia utakuwa umeisaidia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download
Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Josiah Justice kupitia
Simu/WhatsApp: +255714 390 059
Facebook: Josiah Justice255
Instagram: @josiahjustice
Twitter: Josiah Justice
Email: josiah@jmjproduction.net
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment