Tz Town Tv: Alichokizungumza Yusuph Manji baada ya kutajwa na RC Makonda katika tuhuma za dawa za kulevya


Jumatano ya February 8 2017 mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alitaja mbele vyombo vya habari majina mengine ya wanaotakiwa kuhojiwa siku ya Ijumaa kuhusu tuhuma za dawa za kulevya, katika list hiyo Paul Makonda ametaja jina la mwenyekiti wa Yanga na mfanyabiashara Yusuph Manji.
Baada ya jina la Manji kutajwa mwenyewe Yusuph Manji ameongea na vyombo vya habari na kueleza kuwa hakuna haja ya kufika Polisi Ijumaa, yeye atafika kesho na kutoa maelezo, lakini baada ya hapo atafunguwa kesi kwa jina lake kutangazwa kuhusishwa na tuhuma hizo.
TAZAMA VIDEO YOTE HAPA CHINI ALICHO KISEMA……….


video na Ayotv

from Blogger http://ift.tt/2kOLNIT
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment