FULL VIDEO: MANJI ALIMPOJIBU RC DSM PAUL MAKONDA

Jana Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa majina ya awamu ya pili ya watuhumiwa wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya na kuwataka kuripoti Kituo cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam siku ya Ijumaa.
Miongoni mwa wengi waliotajiwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni, Iddi Azan na Askofu Gwajima.
Kwa upande wake Yusuf Manji ameonyeshwa kuchukizwa na hatua hiyo aliyoichukua RC Makonda akisema huko ni kumchafua jina na atamfikisha mahakamani. Manji amesema kuwa yeye hajihusisha na biashara hiyo na kuwa kesho (leo) atafika kituo cha polisi kutoa maelezo kuwa hawezi kusubiri hadi Ijumaa.
Hapa chini ni video kamili ya Yusuf Manji akimjibu RC Paul Makonda;


Vita dhidi ya dawa za kulevya: Sauti ya Mbunge wa Geita (CCM) Joseph Kasheku Musukuma



from Blogger http://ift.tt/2kpjeOG
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment