VIDEO: KIKONGWE WA MIAKA 109 AELEZA SIRI ZAKE KUHUSU MAISHA

Mzee Richard Arvine Overton ni mwanajeshi mstaafu mwenye umri mkubwa zaidi Marekani. Alizaliwa tarehe 11/05/1906, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 110 (alikuwa na miaka 109 wakati video hii inarekodiwa). Kikongwe huyu mwenye miaka 110, ameishi akiyaona matukio makubwa duniani kama Mporomoko wa Uchumi, alipigana katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia na pia ameshuhudia ujio wa teknolojia ya Internet. Tangu kuanza kutengenezwa kwa gari la kwanza duniani aina ya ‘Ford Model T’ mpaka sasa kwenye kipindi ambapo kuna gari zinajiendesha zenyewe, mambo mengi yametokea katika maisha ya mzee huyu.
Kikongwe huyu anayependa kunywa pombe kali aina ya whiskey na kuvuta sana sigara amesimulia siri ya maisha yake kwenye video fupi.
Tazama hapa video ya kikongwe huyu wa miaka 110 akieleza siri ya maisha yake.


from Blogger http://ift.tt/2k5SJBD
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment