VIDEO: Gwajima aongea kwa mara ya kwanza baada ya kutajwa na Paul Makonda

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na uzima ameongea na Waandishi wa habari baada ya jina lake kutajwa kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya na mkuu wa mkoa Paul Makonda, aliyoyaongea mbele ya Waandishi wa habari kanisani kwake Ubungo yapo kwenye hii video hapa chini.






from Blogger http://ift.tt/2k89uYh
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment