Wanasema hizi ni picha 5 za vitu nadra ambavyo hutoviona kila siku

Leo February 25 nimekukusanyia picha tano ambazo wenyewe wanasema zimepigwa kwenye mazingira ya kushangaza zaidi ambapo picha ya kwanza ni hii ya samaki mwenye meno ya binadamu.
Samaki ni chakula kizuri haswa kiafya lakini ukikutana na Samaki wa aina hii kidogo lazima ushtuke na hii ni kutokana na kuwa na meno yaliyofanana na ya binadamu.
2 Mtu akipitisha kidole kwenye Jicho lake 
Mtu huyu jina lake ni Billy Owen ambaye alilazimishwa na Madaktari kuondoa sehemu moja ya Jicho lake hali iliyomfanya kubaki na jicho moja ambapo hata hivyo Billy ameamua kuitumia hali hiyo kama sehemu ya kuwaburudisha watu na kumuonesha mtu wa tofauti.
3 Tai akijigeuza angani
Mpiga picha wa huyu Tai alichukua sifa za kutosha baada ya kuweza kumnasa Tai alivyojigeuza angani.
4 Ndege Flamingos katika Shape ya Flamingo
Picha hii ilipigwa na mpiga picha mtaalamu Bobby Haas kutoka huko Peninsula Yucatan, Mexico, imewaonyesha Ndege wengi aina ya Flamingo wakitengeneza Umbo lao la (Flamingo)
5 Farasi aliyepaa angani akiwa kabeba Mtu
Sio rahisi kumshuhudia Farasi akiwa amepaa angani umbali huu lakini Mpiga picha wa hii alifanikiwa kumnasa na ni moja ya picha 6 za leo.
ANGALIA VIDEO CHIDEO

from Blogger http://ift.tt/2kWBvHj
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment