Nay wa Mitego kuachia kolabo yake na Runtown mwaka huu





Rapper Nay wa Mitego amedai kuwa mwaka huu amepanga kuachia kolabo yake aliyofanya na Runtown wa Nigeria.

Hitmaker huyo wa Muda Wetu, amekiambia kipindi cha FNL cha EATV kuwa yeye ndio msanii wa kwanza kutoka Bongo kufanya kolabo na msanii huyo.

“Mwaka huu nitaachia kolabo yangu na Runtown. Unajua mimi ndio msanii wa kwanza Tanzania kufanya naye kolabo na ina mwaka karibia mmoja na nusu ipo ndani tu ni production ya Uhuru,” amesema Nay.

Rapper huyo ameongeza kuwa mwaka huu amepanga kuachia nyimbo kibao muda wowote ambapo mashabiki wake watakapohitaji.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment