Wachambuzi wa masuala ya fashion aka mitupio, wanadai kuwa Fid Q na Dogo Janja kwa sasa hawakamatiki.
Iko wazi hata ukipita kwenye kurasa zao za Instagram, utagundua kuwa kabati zao zimesheheni viwalo vya nguvu. Mtangazaji wa kipindi cha The Storm cha Clouds TV, Lilliane Masuka ameungana na Ayoub Mrema kuwachambua vyema.
0 maoni:
Post a Comment