XCLUSIVE:TICKETI ZA TAMASHA LA GOSPO AWARDS ZIMEANZA KUPATIKANA,FAHAMU JINSI YA KUPATA.


Wakati mchakato wa kuwapigia kura washiriki wa kinyang’anyiro cha tuzo za Gospo Awards,tayari tiketi za kuingilia kwenye kilele cha ugawaji wa tuzo zimeanza kupatikana.
kumbuka sherehe za ugawaji wa tuzo za Gospo Awards kwa washindi utafanyika jumapili ya tarehe 3o Aprili 2017 kuanzia saa nane mchana na kuendelea katika kanisa la City Christian Center Upanga.

Kiingilio ni Tsh.5000/- (elfu tano) kwa viti vya kawaida na Tsh. 10,000/- (elfu kumi) kwa viti maalumu.Ticketi zinapatika katika Ofisi za GospoMedia,Kariakoo mtaa wa Tandamti na katika kanisa la City Christian Center Upanga.
Pia Unaweza kununua kwa tigo pesa kupitia namba 0658 293 696 au M-Pesa kupitia namba 0755 038 159 ambapo utatumiwa uthibitisho na code ya ticketi ambayo utaitumia kuingilia siku ya tukio .Wote Mnakaribishwa

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment