DKT Magufuli aongoza mkutano wa kumi wa baraza la taifa la biashara nchini



RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA NCHINI, IKULU JIJINI DAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. Wengine ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. Baadhi ya Mawaziri, pamoja na Wajumbe, wakimsikililiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiongea katika Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. PICHA NA IKULU
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment