Ukitazama mitandao ya kijamii kwa
wiki hizi 3 hutoikosa stori ya kuachana kwa mastaa wawili wapenzi ambao
ni Waimbaji wa muziki wa bongofleva Vanessa Mdee pamoja na Jux ambapo taarifa nyingine zilidai kwamba wawili hawa hata hawakutani tena wala kuongea. Japokua hawakuongea chochote kwa Reporters, jana usiku kwenye POOL PARTY Mikocheni camera ya millardayo.com iliwanasa wakiwa wamejiachia na walionekana kuwa na mazungumzo ya mara kwa mara na kufurahi.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment