Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Zaidi Mwezi March 2017, Hizi Hapa.
Kupitia tovuti ya GospoMedia.com hizi ni nyimbo kumi
Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi March mwaka 2017, nyimbo hizi
zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa
kigezo cha ubora wa nyimbo zenyewe na kupitia watu wote walioweza
kuzisikiliza na kuzipakua baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya
gospomedia.com, pia zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye
mchakato wa Tuzo za GOSPO AWARDS zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia mwaka 2018.

Uongozi na timu kazi ya gospomedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi March 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote walioweza kusikiliza na kupakua nyimbo za waimbaji hawa na kuziwezesha kuingia kwenye chati hii ya kumi bora. Barikiwa sana.!!
Like Page yetu ya facebook > JICHOPEMBUZI instagram>
- Shadrack Robert Feat Angel Benard-Mungu Nilinde

DOWNLOAD2. Simon Damiano-Nafsi Yangu

DOWNLOAD3. Neema Faraji-Historia

DOWNLOAD4. Esteria Paul-Umeinuliwa

DOWNLOAD5. Ritha Komba – Kivulini

6. Beatrice Kitauli Feat Rose Muhando-WajueDOWNLOAD

DOWNLOAD7. Giveness Ngao-Nimeutoa Moyo

DOWNLOAD8. Iman Victor-Unijaze

DOWNLOAD9. Janet Otieno-Bisha

DOWNLOAD10. Gelax Wakristo – Wasiwasi

DOWNLOAD
Uongozi na timu kazi ya gospomedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi March 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote walioweza kusikiliza na kupakua nyimbo za waimbaji hawa na kuziwezesha kuingia kwenye chati hii ya kumi bora. Barikiwa sana.!!
Like Page yetu ya facebook > JICHOPEMBUZI instagram>
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment