Nchi zinazoongoza kuwa na watu wanene zaidi duniani, Afrika zipo…



Mtandao wa CIA’S World Fact umetoa list ya nchi zenye idadi kubwa ya watu wanene duniani ambapo Amerika ya Kaskazini ikiwa  na nchi nyingi zenye idadi kubwa huku Qatar na Kuwait zikiongoza Bara la Asia na Afrika kukiwa na idadi ndogo ya watu wanene.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo zaidi ya 75% ya watu katika nchi hizi wana uzito uliopitiliza huku wanawake wakiongoza kwa unene ukilinganisha na wanaume katika nchi za kiarabu wakati Canada, Marekani na Australia wanaume wanaongoza kwa zaidi ya 25% dhidi ya wanawake.
Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ limesema sababu za nchi hizi kuwa na idadi kubwa ya watu wanene hazihusiani na Uchumi mkubwa katika nchi hizo bali upatikanaji wa vyakula visivyokuwa na virutubisho ambavyo wanakula hasa kutoka viwandani ukilinganisha na nchi za Afrika.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment