Mamilioni ya watu barani Afrika hawana uwezo wa kupata
chakula cha kutosha. Somalia iko ukingoni mwa janga la njaa. Ukame
nchini Kenya umesababisha serikali kutangaza hali ya hatari. Kaskazini
mashariki ya Nigeria inakabiliwa na utapiamlo, na njaa imekwisha
tangazwa katika baadhi ya sehemu za Sudan Kusini. Mamilioni ya watu
katika bara —wengi wao wakiwa watoto—hawana chakula cha kujitosheleza. JICHOPEMBUZI inawaletea ripoti hii inayoendelea kuhusu
tatizo hili katika bara la Afrika katika Makala maalumu ya JICHOPEMBUZI “Njaa Barani Afrika"
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment