BALAA MISRI ZAIDI YA 15 WAUWAWA .

waandamanaji wa morsi www.jichopembuzi@gmail.com
Zaidi ya watu kumi na tano wameripotiwa kuuwawa wakati maafisa wa usalama nchini misri walipoanza opereshini ya kuwatimua wafuasi wa Raisi aliye ondolewa madakani Mohammed Morsi.

Lakini vulugu la undugu wa kiislamu Brotherhood,ambalo linaunga mkono maandamano hayo limesema idadi ya walio uwawa inazidi kumi na watano.

maafisa usalama walifyatua gesi ya kutoa machozi.


www.jichopembuzi@gmail.com
Wizara ya mambo ya ndani imesema opereshini ya kusafisha barabara za mji huo inaendelea.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment