MGOGORO WA WAFUGAJI NA WAKULIMA WASHIKA KASI NA KUPELEKEA MKULIMA MMOJA KUUWAWA..

www.jichopembuzi@gmail.com
wafugaji wa songwe.
Wafugaji wanao ishi uko songwe katika kijiji cha uko Itindi ambako akuna upatikanaji wa nyasi za kutosha na  kupelekea kuwavamia wakulima kwa kupeleka mifugo yao ya ng'ombe kwenye mashamba yao.

Mgogoro huu ni wa mda mrefu katika bonde hilo la Songwe kwa kile kinacho sadikika kuwa wafugaji ni wakorofi maana waho wanacho kifanya mifugo yao wanaifungulia usiku na kuipeleka mashambani,lakini mwenye shamba hilo alivyo ona ivyo aliamua kwenda usiku kulinda shamba lake na baada ya kupingwa na wafugaji hao na umauti uka mkuta papo hapo.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment