MWANAMKE UMPENDA MWANAUME MWENYE SIFA 5 WA NAMNA GANI?TUFUTILIE HAPA

www.jichopembuzi@gmail.com
Mwanamke ni chombo au ua ambalo ni dhaifu na mda wowote linaweza kukuponyoka hivyo mwanamke udaganywa kwa vitu vidogo sana sasa ni namna gani umpenda mwanaume.

  • kwanza anapenda mwanaume ambaye ni mcheshi
  • unapo kuwa naye penda kumsfia kwa vitu vigo vigo
  • penda kumletea mauwa yenye mvuto kwake maana wao upenda sana maua 
  • usimsifie mwanamke mwingine unapo kuwa nae ni kosa
  • na unapo kuwa nae usipende kumuuliza ulikuwa wapi? ulikuwa unaongea na nani? kwao ni makwazo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment