Clinton ampongeza raisi kagame licha ya madai kwamba amekuwa akiunga mkono makundi ya waasi katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo ambayo yanakiuka haki za kibinadamu.
Bwana Clinton amesema katika maojiano na BBC kwamba madai hayo ambayo rwanda inayakataa hayajathibitishwa mahakamani.
pia amesema kuwa kuna changa moto kubwa katika mpaka wa Rwanda na Congo kwani wanao watu chungu nzima ambao waliusika na mauwaji ya halaiki miaka ya sitini.
Hata hivyo bwana Clinton amesema kuwa anathamini serikali ya Rwanda kutokana na mafanikio ya kiuchumi yaliyo fanikiwa chini ya Raisi kagame.
Bill Clinton yuko katika ziara ya Afrika www.jichopembuzi@gmail.com.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment