www.jichopembuzi@gmail.com |
Bingwa wa dunia wa mbio za malasoni aitwaye falla amesema anatalajia kupata upinzani mkubwa kutoka kwa mwanaliadha wa kenya Issaya Kiblagat.
Mwanariadha mwenye kasi ya ajabu mjamaica Usain Bolt amerejesha taji lake la ubingwa wa dunia katika mita 100 baada ya kutumikia sekunde 9.77
mwaka 2011 bingwa huyo wa medali ya dhahabu ya olimpiki anayeshikilia rekodi ya dunia ,alipoteza ubingwa wake baada ya kufeli wakati wa kuanza mbio
lakini sasa amerudisha taji lake na kuonyesha kwamba yeye ni hatari kubwa katika mbio zinazo fanyika mjini Moscow,Urusi.
0 maoni:
Post a Comment