www.jichopekuzi@gmail.com |
www.jichopekuzi@gmail.com |
Bwana Maria Yangonge mwenyekiti wa Selve the children shirika la watoto Afrika ya kati amesema katika maojiano na BBC kwamba katika watoto ambao wameathilika ni zaidi ya 2500 walio tumika na majeshi ya kivita na makundi ayo yanayo waajiri watoto katika vita alifahamu hata kundi moja.
hata hivyo Balaza la umoja wa mataifa lina talajia kujadili wiki hii yale yanayo tokea uko Afrika ya kati.
0 maoni:
Post a Comment