www.jichopekuzi@gmail.com |
Katibu tawala wa wilaya hiyo akizungumza na Jichopekuzi kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya chunya Deodatus kinawipo alisema serikali imeamua kuchukua hatua hiyo kufuatia kasi ya kutoweka kwa samaki katika ziwa hilo ambapo hivi sasa wavuvi wanavua samaki wachanga mfano dagaa ambao awafahi kwa kitoweo.
hata hivyo kinawipo amesema kutokana na uwalibifu wa mazingira katika ziwa rukwa upande wa wilaya ya chunya umesababisha mazalia muhimu ya samaki ndani ya ziwa hilo kualibika kutokana na shughuli za kibinadamu
pia wakazi waeneo hilo la pembezoni mwa ziwa na wakulima wamesisitizwa kutoingia katika ardhi owevu hiliyo tengwa na serikali kwa ajili ya kuliifadhi ziwa hilo lenye umaarufu wa mamba wengi.
0 maoni:
Post a Comment