www.jichopembuzi@gmail.com |
katika tafiti nyingi tulizo zifanya kwenye maabara za upimaji wagonjwa wengi ukiwapima aja yao ndogo nikimaanisha mkojo utakuta matatizo ya ugonjwa kama UTI na tatizo la kuto tumia maji utamkuta mtu anasumbuliwa na Calcium oxlate,au Calcium phosephete hii ufanya figo kuto pata maji ya kutosha na kufanya kazi mara mbili zaidi ambapo msada wake hilitakiwa na maji yawepo,hivyo kupelekea figo hizo kuchoka ama kufa kitu ambacho kitakuletea madhala makubwa .
magonjwa ya UTI utokana na ufanyapo tendo la ndoa na mtu mwenye tatizo hilo basi ni lahisi kupata,kushiliki vyoo vya watu wengi pasipo kunawa kwa usahihi na hiyo ni kwa wanawake tu maana wanapo kojoa ni lazima wachuchumae ivyo upelekea mikojo yao kuludi sehemu zao za mwili au inaweza kutokea grup za damu aziendani basi ikawa ni tatizo hilo la UTI kila siku.
Ugonjwa huu una tibika na unapona kabisa kama utapewa dawa zilizo sahihi na hili upone ni lazima upeme kujua idadi ya wadudu waliomo na ukapewa dozi kulingana na kiwango cha wadudu ni raisi sana kupona kwa mfano umeandikiwa Many puss cells awa ni wadudu wengi wasio na idadi ivyo inakupasa kutumia dozi kulingana na wadudu walio kutwa, na tabia ya wadudu awa ubadilika kulingana na mazingira ,mtuuliye pitia
maabara reserch utagundua na kujua ni dawa gani itamua mdudu uyo.
0 maoni:
Post a Comment