www.jichopembuzi@gmail.com |
www.jichopembuzi@gmail.com |
Naibu waziri wa elimu Philipo Mlugo alifanya jitiada za kufungua maktaba hiyo lengo ikiwa ni kutokomeza ujinga katika ukanda wa Songwe kwa watu walika tofauti tofauti maana maktaba hiyo inapokea watu wa aina mbalimbali.
hata hivyo diwani wa eneo hilo ana wasisitizia watu kwenda kusoma rasimu mpya ya katiba hiyo hilio wasili katika maktaba hiyo uku ikiwa na nakala nyingi za kusoma na kuwafanya kuelewa namna ya kutoa maoni katika vipengele vilivyo achwa ama kusaulika
pia maktaba hiyo ni ya kwanza katika wilaya ya chunya kuwa yenye ubora zaidi na ipo maeneo ya bomani kwa kile kinacho sadikika kuwa makao makuu ya Songwe katika mji wa Mkwajuni ulioko chunya mbeya
.
0 maoni:
Post a Comment