DOLA 666 MILIONI ZA POTEA UGANDA.

www.jichopembuzi@gmail.com
Utafiti uliofanyika ni kwamba Uganda inafanya kuwalipa kenya katika utalii .

Ameyasema hayo 19.8.2013 bosi wa bodi ya Utalii aitwaye Amosi Wikesa na kudai kwamba watu badala ya kuja Uganda wanakwenda kenya katika maeneo ya mombasa kwa hiyo hilo limekuwa tatizo katika sekta hiyo  na kunya utalii kuzorota kwa nchi ya uganda.


hivyo ameitaka selikali kuchukua atua za haraka hili kukabiliana na tatizo hilo katika sekta ya utalii.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment