MAAFA INDIA,BAADA YA NYAMBIZI KUZAMA.

www.jichopembuzi@gmail.com
Habari kutoka mumbai zina sema kuwa waokoaji aliopiga mbizi kuwatafuta manusura hawajapata chochote,mkuu wa jeshi amesema kuwa watu 18 walikuwa kwenye nyambizi iliyo zama baada ya kukubwa na milipuko miwili mikubwa.

Waziri wa ulinzi wa India A.K Anthony ametaja tukio hilo kama baya zaidi kuwai kutokea kwa wana maji wa nchi hiyo.

Nyambizi hiyo ilitengenezwa Urusi ilifanyiwa marekebisho miezi mitatu iliyo pita kwa gharama ya Dola milioni 8.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment