MISRI YA IFUNGA UGANDA 3-0

Licha ya machafuko kuendelea timu ya taifa ya misri imeitandika uganda the cranes mabao 3-0 kwenye uwanja wa Elgouna kilometa 430 kutoka mji wa cairo

mohamed salah www.jichopembuzi@gmail.com
Ahamed Hassan kaka ambaye anakipiga kwenye klabu ya Rio Ave ya ureno alifunga bao la kwanza kwa mapharao katika kipindi cha kwanza.

bao la pili lilifungwa dakika 12 baada ya mapumziko na mfungaji bora wa michuano ya kufuzu kombe la dunia kwa kanda ya Afrika Mohamed salah.

Iblrahim salah aliitimisha ushindi wa misri kwa kufunga bao la 3 


katika mchezo mwingine Malawi imeichapa Rwanda 1-0 katika mchezo uliochezwa mjini kigali.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment