MAMILIONI YA FEDHA YAPOTEA SHULE YA MSINGI LWANGWA HILIPO WILAYANI BUSEKELO

shule ya msingi lwangwa

Shule ya msingi lwangwa hilipo wilayani Busekelo ina kabiliwa na ubadhilifu wa fedha zilizo takiwa kutumika katika ujenzi wa  vyoo vya kudumu maana mpaka sasa havijakamilika na  ni hatari kwa afya za watu na kwa wanafunzi wa shule hiyo

Mwalimu huyo wa shule ya msingi aitwaye Ambale Anyabwile Mwakilembe anakabiliwa na tuhuma za ubadhilifu wa fedha pindi alipo kuwa mkuu wa shule hiyo na baada ya kubainika na kamati ya shule hio  kwa ubadhilifu huo wa fedha na kupeleka taarifa kwa mkuu wa wilaya hiyo  kilicho pelekea kushushwa cheo na kuwa mwalimu wa kawada.

Aidha kamati ya shule hio imeongezea kwa kusema licha ya serikali kutoa kiasi cha fedha za ujenzi wa vyoo vya kudumu,wazazi nao walishiliki kuchangia nguvu kazi na kiasi cha fedha cha kila mzazi wa mtoto katika shule hio kwa kutoa sh.1000 na katika hali hio ya ujenzi wa vyoo aijaisha kwa sasa maana mashimo bado yako wazi.

kijiji cha lwangwa na jichopembuzi@gmail.com
mkuu wa wilaya hiyo ya Busekelo amesema baada ya kupata taarifa hizo alimsimamisha mkuu huyo wa shule na kupewa luhusa ya wiki moja hili akatafute hizo fedha kiasi cha sh. milioni 1 na laki 8 katika muda aliyo pewa ajalipoti mpaka leo.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment