OBAMA ARUDI WASHNGTON BAADA YA LIKIZO.

Rais Barrack Obama wa marekani ana rejea  mjini washngton leo hii (18.08.2013) baada ya likizo fupi hata hivyo kurudi kwake kutoka likizoni kunatalajia kuwa ndio mwanzo wa kupambana na siasa chama cha republicans.


Chama cha Republican kina vita vingi katika baraza la wawakilishi mkubwa pia katika bunge la marekani jambo ambalo linaweza kuwawezesha kupitisha ama kuzuia bajeti itakayo wasilishwa kabla ya kuanza kwa mwaka mpya wa bajeti unao anza octoba mosi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment