![]() |
www.jichopembuzi@gmail.com |
Kamanda wapolisi mkoa wa mbeya Diwani Athumani amesema wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhuwa kwa kukusudia akiwemo Muondela jinai,Shigela Sidela,Gere Mwinanira,Moshilo Mwinanira,Vedo Sodela.
Aidha diwani athumani ameta wito kwa jamii kutojichukulia sheria mikononi badala yake wafikishe katika mamlaka husika ili sheria ichukue mkondo wake.
0 maoni:
Post a Comment