Kamanda wa polisi mkoa wa mbeya Diwani Athumani amesema ajali hiyo imesababishwa na magari 2 aina ya scania moja likiwa ni mali kampuni ya DHANDHO lenye usajili wa namba ACP 8839 aina ya Scania na la pili ni lenye usajili wa namba T.765 BBA huku trekta ambalo alija fahamika namba zake lina endelea kufutiliwa kujua mmiliki wa trekta hilo.Aidha Diwani ameongezea kusema watu 2 walio faliki papo hapoawajatambuliwa majina yao bado na mihili yao imeifadhiwa hospitali ya serikali vwawa huku majeruhi nao bado wajatambuliwa majina yao na wamelazwa katika hospitali ya rufaa mbeya
wito uliotolewa na kamanda Athumani ni madereva kuwa makini watumiapo vyombo vya moto barabarani.

0 maoni:
Post a Comment