MVIETNAM ADAKWA NA PEMBE ZA NDOVU UWANJA VWA NDEGE.

Kamishna msaidizi wa polisi,deusdedit kato akionyesha bangili zilizokuwa na vijiti 362 vya pembe za ndovu ndani yake yenye uzito wa kilogramu 19 sawa na thamani ya sh.18.4 milioni vilivyokamatwa juzi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julias Nyerere jijini dar es salaam kushoto ni mtuhumiwa aliyekamatwa na mzigo huo ambaye ni raia wa Vietnam,Nguyen Van.

Raia huyo wa Vietnam anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kukutwa na shehena ya pembe za ndovu ya kilo 19 katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Juliasi Nyerere (JNIA) 

Mtu huyo amekamatwa wakati bado suala la watu kukamatwa na dawa za kulevya likiendelea kulindima.julai 5 mwaka huu ,wasichana wawili.Agnes Gerald(masogange na melisa Edward) walipisha kilo 180 za dawa hizo kwenda kukamatwa Afrika kusini

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment