WAFUASI WA PONDA WAPIGA KAMBI SEGEREA.

Wafuasi wa ponda wapiga kambi segerea.

Sehemu ya wafuasi wa shelkh ponda Issa Ponda waliohudhuria mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya mwembe yanga jijini dar es salaam jana ulioitishwa kulaani kukamatwa kwa kiongozi huyo

Ofisa Habari wa magereza,Deodatus kizinj alisema kisheria ni watu wawili tu kwa mwezi wanaoruhusiwa kumwona mahabusu.

Wafuasi wa kiongozi wa juiya na taasisi za kiislamu tanzania Sheikh Issa Ponda wamepiga kambi katika gereza la segerea wakitaka kumwona bila mafanikio.

Wakizungumza na Jichopembuzi jana nje ya gereza hilo,wafuasi hao walisema walipofika hapo saa nne asubuhi waliambiwa kwamba tayali ndugu zake wanne walikwisha ruhusiwa kumwona.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment