TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI "PRESS RELEASE" TAREHE 30.08.2013

WILAYA YA MBARALI -AJALI YA GARI KUMGONGA MTEMBEA KWA MIGUU NA KUSABABISHA KIFO.

Ajali mbaya iliyotokea MBEYA katika cwilaya ya MBARALI na kusababisha mtembea kwa miguu aliyetaka kuvuka barabara na kugongwa na gari atimaye kufaki papohapo huku chanzo cha ajali hiyo kikisababshwa na mwendokasi wa gari hilo.

taarifa kutoka kwa maafisa polisi zinasema mnamo mjira ya saa 18:30 huko katika kijiji cha  MWAPIMBUKA barabara ya MBEYA /IRINGA ilisababishwa na gari za aina 2 ikiwemo gari lenye namba za usajiri T.877 CLV aina ya IVECO likiendeshwa na HABIBU HASSANI miaka 28,MLUGURU mkazi wa BUGURUNI DSM na kusababisha kifo cha PASTO FURAHA miaka 11 MNYIHA mwanafunzi wa shule ya msingi IGURUSI.

kamanda wa polisi mkoa wa MBEYA DIWANI ATHUMANI ametoa wito kwa madereva kuwa makini pindi wawapo barabarani ili kupusha ajali zinazo zuilika.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment