KAGAME ALIIMIZWA KUWA MVUMILIVU.

KATIBU mkuu wa UN atoa wito kwa rais wa RWANDA kuwa mvumilivu huku uhasama kati yake na nchi jirani ya CONGO ukiendelea kutokota 

Msaidizi wa katibu huyo mkuu wa umoja wa mataifa amenukuliwa akiimbia umoja wa mataifa kuwa wapiganaji wa kundi la M23 wameonekana wakirusha makombora wakilenga RWANDA.

Takribani watu laki nane wamekimbia makwao nchini CONGO tangu waasi hao wa M23 kuanzisha mashambulio katika eneo la mashariki mwa CONGO April mwaka 2012.

raisi wa rwanda kagame

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment