OBAMA AHUTUBIA MAEELFU WASHINGSTON.

Akizungumza na maelfu ya watu walioudhuria maadhimisho ya miaka 50 tangu maandamano ya kutetea haki za kiraia kufanyika jijini jana jumatano alisema kazi haija malizika ya kutetea haki na usawa kwa wamarekani wote.





Miaka 50 baada ya mchungaji MARTIN LUTHER KING JR. kutoa hotuba ya kiistoria na ya kusisimua akisema "ihave a dream" wakati wa ubaguzi mkubwa wa rangi MAREKANI,Rais wa kwanza mweusi MAREKANI alisimama katika ngazi zilezile alizosimama kwenye mnara wa kumbukumbu wa LINCOLN MEMORIAL.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment