AJALI MBAYA ILIYO SABABISHWA NA MATRAFIKI MBEYA

jichopembuzi@gmail.com
Matrafiki wasababisha ajali hiliyo usisha magari mawili tofauti katika barabara ya MBEYA /TUNDUMA katika kijiji cha KARASHANI kilomita chache kuingia MLOWO pindi utokapo VWAWA wakati walipo kuwa wakisimamisha magali hayo

kwa taarifa kutoka kwa maafisa usalama barabarani wamekili kutokea kwa tukio hilo ambalo lilisababishwa na SAM TRALA aina ya scania kwa kuligonga gali dogo aina ya HAICE lililokuwa likitoka MLOWO kwenda TUNDUMA.

Majeruhi wa ajali hiyo wamefikishwa Hospitali kwa ajili ya matibabu zaidi uku abilia mmoja akiwa amevunjika mguu na kwa sasa yuko chini ya uwangalizi wa madaktali.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment